WACHEZAJI WALIOSAJILIWA SIMBA MSIMU MPYA 2024/2025



Yusuph Kagoma amejiunga na Simba SC akitokea Singida Fountain Gate, mchezaji mwingine ambaye amejiunga na Simba ni Lameck Lawi Kutoka Coastal Union.


Hadi sasa Simba wamekamilisha usajili wa:

1. Lameck Lawi

2. Yusuph Kagoma

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Bottom Post Ad