KYLIAN MBAPPE AMETANGAZWA RASMI LEO KUTUA REAL MADRID



Nahodha wa Timu ya Taifa ya Ufaransa ametangazwa rasmi kutua ndani ya mabingwa mara 15 wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Real Madrid huku mwenyewe akisema ndoto yake imetimia.


Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii, Mbappe ameandika


“Ndoto imekuwa kweli, nina furaha sana na kujivunia kujiunga na klabu ya ndoto yangu Real Madrid. Hakuna ambaye anaweza kuelewa furaha niliyonayo kwa sasa”




Real Madrid imetangaza kumsajili nyota huyo kwa mkataba wa miaka mitano.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Bottom Post Ad