Fahamu Namba ya Utambulisho wa Taifa (NIN) kwa kutuma sms kwenda kwenye “Short Code” Na. 15096 bila kutozwa gharama yoyote. Huduma hii imeboreshwa zaidi ni mbadala wa iliyokuwepo awali ya USSD *150*00…….. ambayo kwa sasa haitumiki. Karibu ufurahie huduma zetu.
Jinsi ya Kupata Namba ya NIDA Online
Jaza taarifa zako kwa usahihi ili kufahamu namba yako ya Utambulisho (Namba ya NIDA)
- Jina la Kwanza (Firstname)
- Jina la Mwisho (Surname)
- Tarehe ya Kuzaliwa
- DD-MM-YYYY
- Jina la kwanza la Mama
- Jina la Mwisho la Mama