HomeTetesiWACHEZAJI SITA KUTEMWA SIMBA: LUIS MIQUISSONE ATAJWA! WACHEZAJI SITA KUTEMWA SIMBA: LUIS MIQUISSONE ATAJWA! 0 Chuo Guide June 03, 2024 Klabu ya Simba inatajwa kuachana na nyota wake sita wa kimataifa, nyota hao ni mjumuisho w waliosajiliwa dirisha dogo msimu wa 2023/24.Luis Miquissone ni moja ya wachezaji waliotajwa kuachwa kutokana na kiwango kibovu na kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Wekundu wa Msimbazi.Wachezaji wengine waliotajwa ni Saidi Ntibazonkiza, Jobe, Inonga, na Onana. Tags Tetesi Newer Older