Clement Mzize (20) ameibuka kama mfungaji bora katika Kombe la Shirikisho la CRDB 2023/2024. Mzize amecheza mechi sita, amefunga mabao matano huku akiondoka na Hat trick 1.
Mechi: 6
Mabao: 5
Hat Trick: 1
Mzize amemaliza Ligi Kuu Tanzania NBC Msimu wa 2023/2024 akiwa amefunga mabao sita pekee. Msimu ambao ulikuwa mzuri kwa Aziz Ki na Feisal kutoka Azam FC.
Vinara wa Mabao Ligi Kuu NBC Premier League 2024
Azizi Ki: Mabao 21
Feisal: Mabao 19