NABI MBIONI KUJIUNGA NA WABABE HAWA WA AFRIKA KUSINI



Kocha wa zamani wa Klabu ya Yanga SC Nasreddine Nabi, yupo mbioni kujiunga na timu ya  Kaizer Chief ya Afrika Kusini. Mazungumzo bado yanaendelea kuhusu na ofa hiyo.

Nabia kwa sasa anahudumu kama kocha mkuu wa timu ya AS FAR ya Morocco.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Bottom Post Ad