MASTAA WANNE WA KIMATAIFA KUTEMWA YANGA, MUSONDA ATAJWA...



Taarifa kutoka ndani ya Mabingwa wa kihistoria Yanga zinaeleza kuwa kocha Miguel Gamondi atapukutisha mastaa wanne (4) wa kigeni kwenye kikosi cha sasa ambao ni Skudu Makudubela, Agustine Okrah, Joyce Lomalisa na Kennedy Musonda. Inaelezwa kuwa kocha hajapendezwa na viwango vya wachezaji hawa.


Mabosi wa Yanga wamemhakikishia usajili wa maana Gamondi ambao watakuja kubadilisha mambo kwenye kikosi cha kwanza na miongoni mwao ni beki Chadrack Boka wa FC Lupopo ya DR Congo na pia jina la Clatous Chama limesogezwa kwa GSM.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Bottom Post Ad