Klabu ya Singida Fountain Gate FC imebadilishwa jina kuwa Fountain Gate Footbal Club. Uongozi wa Singida Big Stars walifanya maamuzi ya kuiuza timu hiyo kwa wamiliki wa Fountain Gate mwaka jana (2023) ambapo sasa timu hiyo imebadilishwa jina na kuwa “Singida Fountain Gate Footbal Club.”
Fountain Gate imechukua asilimia 100 ya umiliki wa Singida Fountain Gate FC.