SIMBA YAMPA THANK YOU JOHN BOCCO



Klabu ya Simba SC imemuaga rasmi Nahodha na mshambuliaji kinara John Bocco, hatakuwa sehemu ya Kikosi Msimu wa 2024/2025.

Bocco alijiunga na Simba katika msimu wa 2017/18, ameitumikia timu hiyo kwa misimu saba akitwaa mataji ya ligi na michuano mbalimbali, huku akiisaidia timu hiyo kutinga hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mara tano.

Kupitia kurasa rasmi za mitandao ya Simba imeandika...

"Nahodha wetu na mshambuliaji kinara John Bocco hatokuwa sehemu ya kikosi".

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Bottom Post Ad